screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kitendo cha kuwa na dominance performance dhidi ya Unified Champion Errol Spence na kuweza kumdrop mara 3 kimethibitisha ubora wake, he is special one. Kwa sasa ameweza kujibu maswali ya doubters wote waliokuwa wanapinga yeye kuwa no1 p4p.
Je huyu Terence tuliyemuona leo angepigana na Floyd Mayweather akiwa kwenye prime yake unadhani matokeo yangekuwaje?
Je huyu Terence tuliyemuona leo angepigana na Floyd Mayweather akiwa kwenye prime yake unadhani matokeo yangekuwaje?