Term loan

Term loan

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Wakuu salaam.

Naomba kubadilishane uzoefu kwenye hili.

Nataka kuomba mkopo -(term loan) kwa ajili ya project yangu. Bank ipi haina longo longo? TIB , NBC, CRDB , etc Mwenye kujua /uzoefu naomba msaada tafdahali
 
Usitegemee kuna benki itakayokupa mkopo bila longo longo.
Bado hiyo benki haijasajiliwa hapa bongo.
Jiandae kupewa interest rate kuanzia 22%-30%.
Ndo longo longo zenyewe hizo
 
Acha tu kuna benk nimeenda kupewa maelezo ya mkopo wa mil. 15 kwa wafanyakazi na malipo ni miaka 5 lakii hiyo riba ni milioni 8 ebu fikiria usipokuwa makini unaweza kuingia kichwa kichwa wakikuhadaa yale makato ambayo yanakatwa kila mwezi ukaoni ni madogo lakini kumbe baada ya mkopo unakuwa umelipa kiasi kikubwa sana.
 
Nenda Access Bank ni wepesi kutoa mkopo hatahivyo uwe na shughuli ya kuingiza kipato na kuweza kulipa kwa wakati muafaka
 
Back
Top Bottom