Nataka kuomba mkopo -(term loan) kwa ajili ya project yangu. Bank ipi haina longo longo? TIB , NBC, CRDB , etc Mwenye kujua /uzoefu naomba msaada tafdahali
Usitegemee kuna benki itakayokupa mkopo bila longo longo.
Bado hiyo benki haijasajiliwa hapa bongo.
Jiandae kupewa interest rate kuanzia 22%-30%.
Ndo longo longo zenyewe hizo
Acha tu kuna benk nimeenda kupewa maelezo ya mkopo wa mil. 15 kwa wafanyakazi na malipo ni miaka 5 lakii hiyo riba ni milioni 8 ebu fikiria usipokuwa makini unaweza kuingia kichwa kichwa wakikuhadaa yale makato ambayo yanakatwa kila mwezi ukaoni ni madogo lakini kumbe baada ya mkopo unakuwa umelipa kiasi kikubwa sana.