MWEN
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 218
- 202
Msaada tafadhali kuna jamaa yangu alifukuzwa kazi kwenye kampuni fulani na according to disciplinally procedures za kampuni ile Discplinally committee (DC) inayoweza kumfukuza ni Management DC pekee, sasa kwenye DC iliyomfukuza hakukuwa na mjumbe yeyote kutoka Management team ya kampuni hiyo either quorum inayotakiwa ni
1. Mwenyekiti wa DC awe one of members of management team,
2. Another member of management team
3. representative from his branch I.e branch manager or head or head of department.
4. HR department representative.
5. Legal department representative
DC iliyoketi ilikuwa ya watu 2 tu ambao ni mmoja kutoka hr na mwingine hakuwa mmoja wa waliotajwa kwenye quorum. Je hii issue ikoje kisheria msaada tafadhali.