Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Poleni Wakenya. Hivi kwanini polisi wa Afrika wakifika eneo la tukio wanakuwa wapo clueless na waoga kama raia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi wanao watumia watakapo maliza wanachokitakaPole yao jamani - hivi ugaidi hadi lini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tayari Kenya sio nchi salama tena kwa watalii.
Unakuja mbio kifara fara hivyo!!Nilikuja mbio nikiwa na mpagawo kuwa ni magogoni area! Daah!
Hao nairobi wameonewa kwa ukatili huo.