Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.

Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hapo hawatamfikisha mortuary hawajamvua

AirMax 90
 
Daa!,mkuu eyamango pole kwa kutoielewa comment yangu,pole sana.

POLE SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza hawa vijana waliouawa wanapewa nini mpaka wanakubali kujitoa muhanga ,yaan akili zao zinakuwaje au sio binadam wa kawaifa jameni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamii, huwa ni process sio mchezo, haya mafunzo ya kijihadi, kwa kimombo wanaiita 'radicalisation'
na huwa wanaanza kwa kuwafanyia 'brain wash'. Huwa wanaandama vijana ambao wana elimu duni, ambao wapo jobless, waliotelekezwa na wazazi au jamii kwa ujumla, vijana ambao wanajiona hawafai kabisa na hawana hope maishani. Kisha wanawatumia vijana wenzao kwenye vikundi haramu kama hivi kuwaonesha kwamba wana familia mpya na wanapendwa na kwamba jamii au dini zingine zote ni maadui zao. Alafu wanatumia vitabu vya kidini na mafunzo ya kijeshi kumaliza shughuli yote. Hapo tayari wanakuwa wameshapata zombie mpya ambaye atafanya lolote ambalo 'wazazi' na familia yake mpya watamuambia.
 
Poleni sana dugu zangu wakenya. Mungu awape ujasiri mwingi zaidi ktk kukabiliana na hawa mashetani.
 
Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.

Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
una macho makali sana,nimezoom huo mguu noma umesimama hatar halaf bado wa moto huo,sema nini mumeo anafaidi sana mana mtoto wa kike kujua vitu vikali vya kiume lazma jamaa awe mtu wa kutupia sana
 
kuondoa majeshi ni dalili kwamba wameshindwa.
Sio wameshindwa Ilee vita sio yaooo waoo ni kiherehere tu kwenda kusaidiaa.. Sasa wewe uende kumsaidia jirani yako alafu mwisho wa siku matatizo yakugeukiee wewe na kila siku Yanatokea ilaa bado huachi kihereheree... Achaa umoja wa mataifaa wapeleke wanajeshi toka kenya ila sio Nchi kama nchii kujidai kihereheree.. Unadhani tz haioni Vita zinazoendelea Kongo lakini Nchi kama Nchi haiwezi ingilia kwa kupeleka Wanajeshi manaa tutapata tabu sanaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…