nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
kivipi hiyo mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi hiyo mkuu!
Unawapendea nini? Wamekuoa?Hawawezi kamwe. Lazima Al shabaab wale vichwa mpaka wachoke wenyewe.
Nawapenda sana.
Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daa!,mkuu eyamango pole kwa kutoielewa comment yangu,pole sana.Afadhali Watanzania tuwe wambeya kutoa taarifa kwenye vyombo vya Usalama ili nchi yetu na RAIA wake wawe salama zaidi,badala ya kutunza siri za uhalifu wakati zina madhara makubwa sana kama haya yaliyotokea Kenya jana.
Unayelaumu umbeya wa Watanzania kutoa taarifa karika vyombo Usalama kuwa ni wambeya hebu kaa chini na ufikiri zaidi halafu urudi tena jamvini.
Madhara ya ugaidi huwa hayachagui MTU,yeyote anaweza kudhurika,hata wewe mwenyewe unayeshabikia hili, ni kwa sababu hujui ulisemacho na hayajakukuta wewe,rafiki yako,ndugu yako,jamaa zako wa karibu n.k.
Tafakari kwa undani zaidi kuhusu comment yako hii kama ina Afya kwa nchi/Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamii, huwa ni process sio mchezo, haya mafunzo ya kijihadi, kwa kimombo wanaiita 'radicalisation'Naomba kuuliza hawa vijana waliouawa wanapewa nini mpaka wanakubali kujitoa muhanga ,yaan akili zao zinakuwaje au sio binadam wa kawaifa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Drimuliana inasafirisha minofu bado? 😀😀😀Poleni sana watani zetu. Hivi ule ukuta mliojenga katika mpaka wa Somalia haujamalizika?, au ndio yale yale ya "Nothing works in a failed state".
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nipo nyuma ya wakati,hiyo ni sawa na Tsh ngapi za Kitanzania?Raba gani hiyo? Brand?
Na AirMax imepitwa na wakati kivipi ilhali Vapormax 2019 imetoka tarehe 10 majuzi tu hapa...??!!!
Na ni moto wa kuotea mbali! Retail price ni $190.00
Basi nipo nyuma ya wakati,hiyo ni sawa na Tsh ngapi za Kitanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
nani mkuu weka wazi huenda ukalisaidia jeshi la police
kuuawa kwa hawa Alshabab hakuta waacha salama tena Kenya...jamaa lazma watakuja kulipiza tu maana magaidi wao wanajifanya wana haki sana hawastahilinkuuawa na mtu isipokuwa kujiua wenyewe.Two of them are already killed!
View attachment 996014View attachment 996015View attachment 996016
Sent using Jamii Forums mobile app
una macho makali sana,nimezoom huo mguu noma umesimama hatar halaf bado wa moto huo,sema nini mumeo anafaidi sana mana mtoto wa kike kujua vitu vikali vya kiume lazma jamaa awe mtu wa kutupia sanaHuyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa hiyo ulitaka wasiuwawe mkuu, kisa kuogopa wasishambuliwe tena?kuuawa kwa hawa Alshabab hakuta waacha salama tena Kenya...jamaa lazma watakuja kulipiza tu maana magaidi wao wanajifanya wana haki sana hawastahilinkuuawa na mtu isipokuwa kujiua wenyewe.
kwa hiyo ulitaka wasiuwawe mkuu, kisa kuogopa wasishambuliwe tena?
hapana wala sikuwa na maana hiyo,lengo langu ni kuwataka Kenya wawe macho zaidi waache kujisahau,mana ukiangalia baada ya matukio ya westgates na garisa ndugu zetu kama walijisahau sanakwa hiyo ulitaka wasiuwawe mkuu, kisa kuogopa wasishambuliwe tena?
dah umeongea kwa uchungu saana pole saana this is DuniaA hypocrite hides hatred behind flattering words. They may sound fine, but don't believe him because his heart is filled to the brim with hate.He may disguise his hatred but everyone will see the evil things he does. Pvbs 26
kuondoa majeshi ni dalili kwamba wameshindwa.Solution ni Kenyaa kuondoa majeshi yake somaliaa... La sivyooo hao al shabab wanazidi kuua watu wasiokuwaa na Hatia kila sikuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima wakubali kushindwa kama wanataka amani.kuondoa majeshi ni dalili kwamba wameshindwa.
Sio wameshindwa Ilee vita sio yaooo waoo ni kiherehere tu kwenda kusaidiaa.. Sasa wewe uende kumsaidia jirani yako alafu mwisho wa siku matatizo yakugeukiee wewe na kila siku Yanatokea ilaa bado huachi kihereheree... Achaa umoja wa mataifaa wapeleke wanajeshi toka kenya ila sio Nchi kama nchii kujidai kihereheree.. Unadhani tz haioni Vita zinazoendelea Kongo lakini Nchi kama Nchi haiwezi ingilia kwa kupeleka Wanajeshi manaa tutapata tabu sanaaa...kuondoa majeshi ni dalili kwamba wameshindwa.