Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Hadi wanao watumia watakapo maliza wanachokitakaPole yao jamani - hivi ugaidi hadi lini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tayari Kenya sio nchi salama tena kwa watalii.
Unakuja mbio kifara fara hivyo!!Nilikuja mbio nikiwa na mpagawo kuwa ni magogoni area! Daah!
Hao nairobi wameonewa kwa ukatili huo.