Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee jamaa walikuwa wanapiga shaba za kichwani tu
MGC
Usikatae, mmeshikwa pabaya.
Tena matakoni kabisa.
Al shabaab wanajipigia tu
Wakijifanya wanaendelea kuwa wabishi watajikuta siku moja wamepigwa p*umbu nchi nzima. We waache tu.
Kwan kuwa kwao askari ndiyo kuwape kuingia kwenye hatari ya kifo kichwakichwa pasipo tahadhari au uliambiwa mtu akiwa askari kufa ni halali yake..??Poleni Wakenya. Hivi kwanini polisi wa Afrika wakifika eneo la tukio wanakuwa wapo clueless na waoga kama raia.
Hiyo inakuwa na maana ipi mkuu?Yes ...terrorist lazima umuue hivyo...
Hata makomandoo wa marekani najua kama operesheni mbili hivi wanapewa order "shoot in the head"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao shetani hawajali hilo kuhusu uhai wa wengineHuyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huko kwao zaidi zaidi utaona picha za maiti zimefunikwa mashuka. Huku wanaona waafrika kama vile kafa mnyama. washenzi sana.Hawa NYT wakiripoti gun violence kwao huko hutaona maiti za watu ila jana walikipata cha moto baada ya kupost picha za maiti zikiwa zimezagaa hotelini (Dusit Hotel).
Kama wewe ni Mwafrika uliyechoshwa na negative and biased coverage of Africa by Western media lazima hii ikuguse na wewe.
NYT wamekataa kuomba msamaha na badala yake wamejaribu kutoa maelezo ya kwa nini walifanya hivyo.
Kuna hatari ya Bureau Chief wao kufukuzwa.
View attachment 996114
Inapendeza sana kulalamikia haya pale unapokuwa na Media zako ambazo zaina uwezo kwa kurusha habari haraka kabla ya hizo za wageni. Inasikitisha sana hata vyombo vyetu vya ndani hapa kukosa reporter aliyeko eneo la tukio alafu mkirushiwa habari na vyombo vya nje mnaanza kulalamikia vitu visivyo vya msingi! Kweli waafrika tuna taabu sanaa!!Huko kwao zaidi zaidi utaona picha za maiti zimefunikwa mashuka. Huku wanaona waafrika kama vile kafa mnyama. washenzi sana.
Huyo anaweza kuwa raia tu wamemkamata ili ionekane wapo makini !!!Huyo anastahili kupigwa risasi papo hapo sijui anakamatwa kwa nini?
nilienda kumuangalia jamaa twitter nimeona yupo safe
Acha ujinga kuhusisha dini za watu na Uhalifu, unajifanya kipofu wakati hapo Congo asilimia 90 ni wakatoriki nawaislamu Ni asilimia 1 tu lakini wanauana na Rwanda asilimia 95 ni wakristo lakini mbona walichinjana na bado wanachukia mpaka leo wanaishi kinafiki.
WTF?😦 😦 😦.It's better to have no religion than follow this one!!!Angalia ulivyokuwa mjinga, nikuulize....huko Kongo na rwanda watu wanauana kwa ajili ya dini au? Kuuana katika katika dini ya kiislam ni itikadi kwani hata Mohammed aliwaambia hivyo wafuasi wake na ndiyo maana unaona wajinga wasiojitambua wanatekeleza ujinga huu. Mungu gani anayeruhusu watu wauane tu ili kueneza dini ya uwongo?
Soma yafuatayo kisha rudi hapa kubisha kama bado utakuwa hujajiua kwa haibu hiii:
1. Thou shall Rape, Marry, and Divorce Pre-pubescent Girls. Koran 65:4
2. Thou shall have Sex Slaves and Work Slaves. Koran 4:3, 4:24, 5:89, 33:50, 58:3, 70:30
3. Thou shall Beat Sex Slaves, Work Slaves, and Wives. Koran 4:34
4. Thou shall have 4 Muslim male witnesses to prove rape. Koran 24:13
5. Thou shall Kill those who insult Islam or Mohammed. Koran 33:57
6. Thou shall Crucify and Amputate non-Muslims. Koran 8:12, 47:4
7. Thou shall Kill non-Muslims to guarantee receiving 72 virgins in heaven. Koran 9:111
8. Thou shall Kill anyone who leaves Islam. Koran 2:217, 4:89
9. Thou shall Behead non-Muslims. Koran 8:12, 47:4
10. Thou shall Kill AND be Killed for Islamic Allah. Koran 9:5
11. Thou shall Terrorize non-Muslims. Koran 8:12, 8:60
12. Thou shall Steal and Rob from non-Muslims. Koran Chapter 8 (Booty/Spoils of War)
13. Thou shall Lie to Strengthen Islam. Koran 3:28, 16:106
14. Thou shall Fight non-Muslim even if you don't want to. Koran 2:216
15. Thou shall not take non-Muslims as friends. Koran 5:51
16. Thou shall Call non-Muslims Pigs and Apes. Koran 5:60, 7:166, 16:106
17. Thou shall Treat non-Muslims as the vilest creatures deserving no mercy. Koran 98:6
18. Thou shall Treat non-Muslims as sworn enemies. Koran 4:101
19. Thou shall Kill non-Muslims for not converting to Islam. Koran 9:29
20. Thou shall Extort non-Muslims to keep Islam strong. Koran 9:29.
Kwa taarifa yako, hii ni JF kama ulikuwa hujuwi....yaani una deal na wasomi, wapuuzi wako Insta na Facebook.
WTF?😦 😦 😦.It's better to have no religion than follow this one!!!