Terry (fanani) yuko wapi?

Udaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
725
Reaction score
109
Wakuu mwenye taarifa za huyu mkali wa hip pop hapa bongo tujuzane,terry ni miongoni mwa mc 3 waliokuwa wanaunda kundi la hard blasters crew,wengine ni nigger j sasa prof j,big willy na yeye terry.alishuka verse ya pili ktk waimbo wa MAM SAP,ktk albam yao ya CHEMSHA BONGO mwaka 2000,baada ya hapo akasikika kiana kwenye wimbo wa NIAMINI wa prod J ktk albam ya MACHOZI JASHO NA DAMU,mwaka 2001.Nikamsikiasikia tena ktk wimbo wa KALA BLAKI,mwaka nimesahau.wakuu tujuzane alipo mkali huyu.
 
Huyo jamaa sasa ni choka mbaya yan mibange na miunga kwa kwenda mbele mara ya mwisho nilisikia anaishi pande za mabibo
 
Namuona hapa anaelekea sober house lol
 
Kigogo mwisho hapo nazani alishakuwq teja sugu hata rehab inadunda sasa ivi
 
"Yoh mamsap yoh nipoze moyo mama,nimechanganyikiwa penzi lako la maana,nipe penzi nikupe hapa mimi ni salma"..pole sana Fanani
 
Yupo mwanalizombe-studio anafanya kolabo na Ray C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…