Wakuu mwenye taarifa za huyu mkali wa hip pop hapa bongo tujuzane,terry ni miongoni mwa mc 3 waliokuwa wanaunda kundi la hard blasters crew,wengine ni nigger j sasa prof j,big willy na yeye terry.alishuka verse ya pili ktk waimbo wa MAM SAP,ktk albam yao ya CHEMSHA BONGO mwaka 2000,baada ya hapo akasikika kiana kwenye wimbo wa NIAMINI wa prod J ktk albam ya MACHOZI JASHO NA DAMU,mwaka 2001.Nikamsikiasikia tena ktk wimbo wa KALA BLAKI,mwaka nimesahau.wakuu tujuzane alipo mkali huyu.