Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwani hyyu yupo kweli au olikuwa AI?Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi.
View attachment 3541297esha
Kabla ya oders unafikiri Yale magari ya jeshi yalikuwa upande wa nani? Kuna mchezo ulifanyika pale and everything changed. Fuatilia vizuriYuko wapi??? na ushujaa wake ni upi? kuwalisha matango pori vijana wetu kua jeshi lipo nao wakatoka matokeo yake sote tunayajua
Teshaa.... Mtu sahihi kwa wakati usio sahihi. Alikua na maono akasahau ndani ya kundi lake pia jamaa wamo (kosa la kwanza).
Safari ya kuelekea maeneo ikawa wazi na nyeupe, waliofika mwanzo wakataitiwa wao kama kuku. Walioko njiani njia zikafungwa.
Walioenda kwa Afande nao wakazingirwa kama bata na mpango ukasanuka rasmi.
Protokali zikavunjwa rasmi badala ta CDF (mwenyekiti), idara (katibu) ikasema mnatuchezea nyie ikampa mamlaka IGP (mjumbe) watu wakae ndani. (Bold hapa mana ndo game nzima iliishia)
Kesho yake Afande akatoa tangazo kwa kuhaha pembeni wapo pia walioenda kwake ila hawatamaniki tena (
Sio baada ya yale kutokea da Mange akatuambia jeshi limegawanyika kimadaraka, sijui washika funguo wapo Moro, Mabomu yapo Dar, Silaha zipo Kigoma yaan kiufupi ili yote hayo yafanikiwe inabidi wooooote wawe wamekubaliana, je Capt wetu Tesha hakuyajua hayo kabla hadi kuhamasisha vijana watoke ilhali alijua jeshi bado halijaungana na kua na sauti moja?Kabla ya oders unafikiri Yale magari ya jeshi yalikuwa upande wa nani? Kuna mchezo ulifanyika pale and everything changed. Fuatilia vizuri
Aliwachuza maelfu ya vijana wakapoteza maisha yao.Yuko wapi??? na ushujaa wake ni upi? kuwalisha matango pori vijana wetu kua jeshi lipo nao wakatoka matokeo yake sote tunayajua
Unajua usaliti? Unatokea muda wowote wakati wowote mahali popote. Kuna siku ukweli utawekwa wazi kilichotokea kwenye zile siku za giza.Sio baada ya yale kutokea da Mange akatuambia jeshi limegawanyika kimadaraka, sijui washika funguo wapo Moro, Mabomu yapo Dar, Silaha zipo Kigoma yaan kiufupi ili yote hayo yafanikiwe inabidi wooooote wawe wamekubaliana, je Capt wetu Tesha hakuyajua hayo kabla hadi kuhamasisha vijana watoke ilhali alijua jeshi bado halijaungana na kua na sauti moja?