TESLA Cybertruck

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle

Delivery inaanza tar 23 November

Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama

Risasi haipenyi
Nyundo haivunji na watu mil 1+ wameweka oda





 
Hili gari mimi halijanivutia hata kidogo. BYD wana magari mazuri zaidi hata europe wanashika soko hadi EU inataka kuweka vikwazo kupunguza mauzo yao.

Mimo napenda ile truck ya ford
 
Hili gari mimi halijanivutia hata kidogo. BYD wana magari mazuri zaidi hata europe wanashika soko hadi EU inataka kuweka vikwazo kupunguza mauzo yao.
Mimo napenda ile truck ya ford
Tuko pamoja. Ford mnyama sana

Hivi hana hybrid vehicles tuzijue!?
 
Ni gar nzuri Japo mauzo yake yana suasua kulinganisha na projections walizokuwa wamejiwekeaView attachment 2806267
View attachment 2806268
Nimeenda kuicheki mtandao wao

Ebhana wana kauli flani za kibabe sana

2023 FORD F-150® RAPTOR® AND RAPTOR R™

With next-level off-road capability underfoot, you can drive deeper into the desert or into the thick of things where the most rugged terrains aren’t considered obstacles — but play things. *

Nimewakubali sana ngoja zikitutembelea
 

Ford hapa waliupiga mwingi ,hasa king or Ranch na Raptor
 
Range ya hii saibatraki ni Km ngapi kwa full chaji? Maana kwenda offroad na hilo likasha la umeme ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…