TESLA Cybertruck

TESLA Cybertruck

Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle

Delivery inaanza tar 23 November

Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama

Risasi haipenyi
Nyundo haivunji na watu mil 1+ wameweka oda

View attachment 2806217
View attachment 2806218
View attachment 2806219
View attachment 2806220
Wabongo kwa unafiki hatujambo.Gari ya Masoud Kipanya tulijikita kuzodoa muonekano wake zaidi ya mengine.

Ila hii itapewa sifa kedekede na muonekano utaonekana kawaida tu.

Waliozodoa muonekano nimeona ni wachache tu tofauti na ule uzi wa gari ya Kipanya.
 
Mimi sijawahi kuzodoa gari ya masudi

Tunaogopa kununua gari ya masudi kwasababu ya safety.

Unazani ile ndege iliogunsuliwa mwanjelwa mbeya na inayotengezwa na Boeing utanunua ipi?
 
Back
Top Bottom