FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hili debe ni la kubebea nini kwani?Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle
Delivery inaanza tar 23 November
Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama
Risasi haipenyi
Nyundo haivunji na watu mil 1+ wameweka oda
View attachment 2806217
View attachment 2806218
View attachment 2806219
View attachment 2806220
Wabongo kwa unafiki hatujambo.Gari ya Masoud Kipanya tulijikita kuzodoa muonekano wake zaidi ya mengine.Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle
Delivery inaanza tar 23 November
Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama
Risasi haipenyi
Nyundo haivunji na watu mil 1+ wameweka oda
View attachment 2806217
View attachment 2806218
View attachment 2806219
View attachment 2806220
Wabongo kwa unafiki hatujambo.Gari ya Masoud Kipanya tulijikita kuzodoa muonekano wake zaidi ya mengine.
Ila hii itapewa sifa kedekede na muonekano utaonekana kawaida tu.
Waliozodoa muonekano nimeona ni wachache tu tofauti na ule uzi wa gari ya Kipanya.