Tesla Model S ikiwa na Odometer inasoma 692,000 Kilometa imepungua original range ya 65 Kilometa tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Ata sio issue kubwa.

Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original range ikiwa mpya.

csm_tesla_model_s_430k_mileage_range_test_a6ac611b1a.jpg

Chuma bado iko poa, kasoro tu uchakavu wa kawaida interiors na nje.

csm_tesla_model_s_430k_miles_range_test_249af314a4.jpg

Tunajaribu kuwashawishi wapunguze kodi ya EV, 🐒
 
Ata sio issue kubwa.

Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original range ikiwa mpya.

View attachment 3018768
Chuma bado iko poa, kasoro tu uchakavu wa kawaida interiors na nje.

View attachment 3018771

Tunajaribu kuwashawishi wapunguze kodi ya EV, 🐒
Ilikuwa Uber au? Mbona mileage kubwa hivyo?
 
Hivi jamani nimeona Tesla za kutosha Kenya, Ethiopia…nk.

Sijawahi bahatika kukutana na Tesla bongo.

Au zinaendeshewa huko Masaki na Obay ambako wengi wa daraja la chini na Kati hatufiki?
 
Hakuna. Watu wenye uwezo Tz mawazo yao ni kununua LC300, Range Rover, G Wagon etc. Hio Tesla bei yake mpya kipato cha kati hawezi kununua.
 
Siku ukija kuona Tesla hapa DAR ujue ni mhindi au mwarabu
Mimi nadhani serikali Ingeweka namna ya ku encourage EVs kwa kupunguza ushuru watu waagize Tesla na jamii kama hizo.

Tunang’ang’ania fossil fuel..ila madhara yake hasa pollution kwa afya za watu ni makubwa. Bill ya madawa itazidi kuongezeka. Mimi sijui watunga sera wetu wanasoma shule gani na kama wakiwa kwenye hizo nafasi, wanatumia hiyo elimu vilivyo.

Imagine bongo ukitaka kuagiza gari nafuu ipo gari miaka mitano kwenda nyuma. Jichanganye uchukue machine ya 2020 kuja mbele….mziki wa kodi utakutesa mnoo.

High time viongozi wetu waangalie maslahi mapana ya taifa, wakifanya maamuzi.
 
Serikali yetu hii haina Akili maana haiwezekani ukategemea Kodi za kuagiza magari ziwezeshe kupandisha uchumi.
Kutegemea Kodi hizi ni kuumiza wananchi Tu pia ni roho mbaya Tu
 
Back
Top Bottom