Tesla Model S ikiwa na Odometer inasoma 692,000 Kilometa imepungua original range ya 65 Kilometa tu!

Tesla Model S ikiwa na Odometer inasoma 692,000 Kilometa imepungua original range ya 65 Kilometa tu!

Kuna tesla ngapi zenye umri huo na zenye high mileage kubwa kama hiyo ambazo bado ziko barabarani mpaka leo?
 
Serikali yetu hii haina Akili maana haiwezekani ukategemea Kodi za kuagiza magari ziwezeshe kupandisha uchumi.
Kutegemea Kodi hizi ni kuumiza wananchi Tu pia ni roho mbaya Tu
Haswa roho mbaya..ni hadi pale aina flani ya watu wakitoka kwenye System ndio tutapata ahueni ila kwa aina hii ya watu tulionao tutegemee maumivu tu
 
Hivi haya Magari ya umeme gharama zake kwenye matumizi ya umeme zikoje? Kwa mfano gari yenye uwezo kwenda kilometa 500 itakuwa imetumia umeme wa sh ngapi au unit ngapi
 
Back
Top Bottom