USA ndio. Haha hapo sasa. Nimeicheki kwenye channel ya YouTube maarufu sana.Hii gari ilikuwa inatumika nchi gani? Kama inatumika marekani inawezekana kufikia hizo milage..
Ila sometimes hawa wazungu ni waongo Tu pengine wamechezea hiyo odometer ili ionekane hizo gari ni imara
Hivi hertz na bongo si wapo? Kuna muda naona kukodi gari ni bora kuliko kulinunua moja kwa mojaHertz wamevurugwa wanauza Tesla kama njugu.
Aliyekufikisha alituahidi liftKwanini hamfiki wajati ni ndani ya nchi!!!
Haswa roho mbaya..ni hadi pale aina flani ya watu wakitoka kwenye System ndio tutapata ahueni ila kwa aina hii ya watu tulionao tutegemee maumivu tuSerikali yetu hii haina Akili maana haiwezekani ukategemea Kodi za kuagiza magari ziwezeshe kupandisha uchumi.
Kutegemea Kodi hizi ni kuumiza wananchi Tu pia ni roho mbaya Tu
Huduma zao zipoje hawa Mkuu?Hivi hertz na bongo si wapo? Kuna muda naona kukodi gari ni bora kuliko kulinunua moja kwa moja