Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida.

Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3.

Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya magari yao, mfano Model 3 ilioanza 2017.
IMG_8673.jpeg

Hapo hawajawahi badirisha anything kikubwa hadi 2023 kidogoo izo taa.
IMG_8674.jpeg

Na vitu vingine vya ndani visio na maana kama kuondoa na kuongeza turn signal stalk kuweka buttons na kutoa gear leaver na kuweka touchscreen. Unaweka gear kwenye screen au kwenye roof ya gari.
IMG_8680.jpeg
IMG_8679.jpeg

Lakini gari ikitoka watu watakua na mzuka (wa kuibiwa) kama ilivotoka Model 3 watu walikaa kwenye line siku kucha kuweka reservation.
IMG_8672.jpeg

Same kwenye iPhone watu zikitoka nao wanakaa kwenye line kununua.
IMG_8678.jpeg

Wakati in reality hamna kilichobadirika kutoka model ya mwaka jana.
IMG_8677.jpeg
 
Back
Top Bottom