Hautaki ku embrace automation mzee?Sioni umuhimu wa kumiliki gari ambalo linajiendesha lenyewe
Ukiwa kilema wa mikono au miguu au kipofu ndio utaelewa, wazee pia wana hitaji hiiSioni umuhimu wa kumiliki gari ambalo linajiendesha lenyewe
Mbona zipo kwenye market kitambo sasa….Wakuu.
Tesla leo tarehe 7 October wamezindua magari mawili, Model 3 na Model Y Standards.
View attachment 3485195
Kwa lugha nyepesi, hizi ni base/cheaper versions za Model 3 na Model Y zikiwa zimepoteza baadhi ya features kutoka kwa wakubwa zao.
View attachment 3485196
Mbali na kuleta Standars, Tesla pia amebadirisha naming ya trims za magari yake.
Standard ndio entry level trims, zilizokua zinaitwa Long Range sahivi zinaitwa Premium.
Pia Tesla wamezindua FDS v14 software kwaajili ya magari yanayojiendesha.
Nadhani Ni suala la muda tutayazoea tu!Sioni umuhimu wa kumiliki gari ambalo linajiendesha lenyewe
Nadhani ile model y ya 2020 na hii y standard ni tofauti.Mbona zipo kwenye market kitambo sasa….
Ndinga naenda wapi mkuu mtu mwenyewe nisharidhika working from home sasa.Kiranga mwanenu wa state kaamua aachie ndiga alizo promise kwa muda mrefu.
naona kaona atanue mbawa baada ya kina byd kumkalia kooni kinyama, maana soko wana likanyagia gia tu vyuma vipya daily.
Mimi kwangu gari nione raha yake niiendesheNadhani Ni suala la muda tutayazoea tu!
kuna muda upogo fresh vizuri hapa nimekusoma ndabileUkiwa kilema wa mikono au miguu au kipofu ndio utaelewa, wazee pia wana hitaji hii
Hapana mkuu sitoiona raha ya gariHautaki ku embrace automation mzee?
Ni sawa mkuu, muda mwingine hatuhitaji materialNdinga naenda wapi mkuu mtu mwenyewe nisharidhika working from home sasa.
Benz na Beemer naendesha siku moja moja tu weekend trips siku hizi dogo anaendesha kwenda nazo high school kuliko mimi.
Mie nimekua na Ma Range Rover Vogue 4.0, Ma Land Cruiser, Ma Mitsubishi Pajero Intercooler Turbo, ma Mercedes Benz kadhaa.
Magari usafiri tu siwezi kuanza kulimbuka leo.
Ni sawa mkuu, muda mwingine hatuhitaji material things kivile ili kufurahia maisha.Ndinga naenda wapi mkuu mtu mwenyewe nisharidhika working from home sasa.
Benz na Beemer naendesha siku moja moja tu weekend trips siku hizi dogo anaendesha kwenda nazo high school kuliko mimi.
Mie nimekua na Ma Range Rover Vogue 4.0, Ma Land Cruiser, Ma Mitsubishi Pajero Intercooler Turbo, ma Mercedes Benz kadhaa.
Magari usafiri tu siwezi kuanza kulimbuka leo.
Nyani wa kiarabu wewekuna muda upogo fresh vizuri hapa nimekusoma ndabile
Refreshed Model Y [Juniper], considered a 2026 model, ilikuwa launched January mwaka huu, 2025.Nadhani ile model y ya 2020 na hii y standard ni tofauti.
Maana hata yahoo finance and Reuters wame ipost Leo.
(Wana iita the cheapest).
Hongera mkuu,Mimi kwangu gari nione raha yake niiendeshe
Hakika ni sahihiHongera mkuu,
Watu kama nyie huwa mnafagilia Sana magari ya manual!