Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Juzi Tesla walizindua Model Y, ambayo ni update ya Model Y iliopita, wanaiita Model Y Juniper.
Tesla walijitahidi sana kuweka hii siri, ila wananchi walishashtukia maana hakunaga siri haya maisha.
Lengo kubwa la Tesla kuweka siri waliogopa itaaffect mauzo ya Model Y ilipo sokoni sahivi kwamba kila mtu atakua anasubiria update.
Kuhusu hii gari, haina mabadiriko mengi sana technically zaidi muonekano ndio umebadirika.
Hii version ni AWD yenye range ya 523 km ikiwa imeongezeka kiduchu aana kutoka Model Y iliopita yenye 501 km.
Speed Max ni 200km/h na utatoka 0-100 km/h kwa 4.2 sec.
Kwa mtazamo ni kama Tesla ameanza kuelekea muonekano wa gari za kutoka China, ukifuatilia ata muonekano wa update ya Model 3 ya mwaka jana utakua shahidi.
All in all gari imekua nzuri zaidi kwa mtazamo binafsi.
Bei imepanda kidogo itaanzia $60,000+ bila ushuru wala usafiri.
Asante.