Tesla wamezindua Update ya Model Y: Codenamed "Model Y Juniper"

Wapinzani nayo mavi tu yamekalia kuunga juhudi tu!
Pamoja na hiyo changamoto ila binafsi naona Wananchi wenyewe ndiyo Hatupo tayari

Umewahi kuona Lissu anavyotoa mihadhara yake

Yaani angekuwa ni mchungaji, basi Kila mtu angeokoka,

Lakini Wananchi wenyewe ni kama tumelala

Mwaka 2023/24 ameongea sana kuhusu DP world na usanii wa Muungano wetu, lakini bado hakupata sapoti ya Wananchi

Me maana hata Uhuru wenyewe wa Nchi tumepewa tu baada ya mazungumzo na Malikia

Sioni kama hiki kizazi kingefanya lolote kuwaondoa Wakoloni iwapo wangegoma kuondoka
 
Upo sahihi mkuu, kizazi chetu hiki ni utopolo kabisa tumeongezewa na hawa vijana wamegeuka kuwa chawa!
 
Tumekuwa na kizazi kilichojaa woga na watu laini laini

Ndiyo maana Wanaume wanaogeuzwa wamekuwa wengi miaka hii

Iwapo Kuna Wanaume wanaona kuwa Chawa kunalipa kuliko kufanya kazi Kwa bidii vipi akipewa milioni 1 ili ageuzwe si atakubali huyo 🙌
 
Kumbukeni haya magari ni left hand drive sijui tutaendeshaje
Hahaa ukiagiza from JP ni RHD.
Screenshot_20250127-173644.png
 
Back
Top Bottom