Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Pamoja na hiyo changamoto ila binafsi naona Wananchi wenyewe ndiyo Hatupo tayariWapinzani nayo mavi tu yamekalia kuunga juhudi tu!
Umewahi kuona Lissu anavyotoa mihadhara yake
Yaani angekuwa ni mchungaji, basi Kila mtu angeokoka,
Lakini Wananchi wenyewe ni kama tumelala
Mwaka 2023/24 ameongea sana kuhusu DP world na usanii wa Muungano wetu, lakini bado hakupata sapoti ya Wananchi
Me maana hata Uhuru wenyewe wa Nchi tumepewa tu baada ya mazungumzo na Malikia
Sioni kama hiki kizazi kingefanya lolote kuwaondoa Wakoloni iwapo wangegoma kuondoka