Tetesi: Tessy wa Aslay avamiwa, kisa mume wa mtu...

Tetesi: Tessy wa Aslay avamiwa, kisa mume wa mtu...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Bidada nasikia limemkuta jambo , ile ofisi yake aliyoifungua kwa mbwe mbwe wiki kadhaa iliyopita nasikia imevunjwa vunjwa na Vijana wanaosadikika wametumwa na mke wa muheshimiwa ambaye anadaiwa kutoka na Tessy.

Cheusi dawa nasikia alinunuliwa gari, alifunguliwa ofisi na kununuliwa kiwanja huko maeneo ya sala sala ambapo nasikia ujenzi bado unaendelea..

Nasikia bidada kavamiwa kwenye saloon yake na kuvunjiwa vitu na baadhi kuibiwa na watu wanaodaiwa kutumwa na mke wa jamaa
IMG_2881.JPG
 
kuna watu wana hela za michezo hapa mjini, mtu mwnye akili timamu unamnunulia gari na kumjengea singo maza tena danga[emoji23][emoji119][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃 imagine... hao ndio wote wale ambao wakisha stahafu wanakuja kupatwa na stroke

ila kuna mijitu mingine ina hela mzee acha kabisa...sio hela hizi za mawazo... though jambo. lingine pia mademu wa mjini wanajifukiza sana.. usiombe uwe na. helathen unase katika 18zzao utarogwa mpaka ukome
 
Mmmmh [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
😃😃 imagine... hao ndio wote wale ambao wakisha stahafu wanakuja kupatwa na stroke

ila kuna mijitu mingine ina hela mzee acha kabisa...sio hela hizi za mawazo... though jambo. lingine pia mademu wa mjini wanajifukiza sana.. usiombe uwe na. helathen unase katika 18zzao utarogwa mpaka ukome
We acha kuna mzee mmoja mstaafu mtaani na phd yake,kiinua mgongo chote kapeleka kwa wadada wa mjini wamempukutisha,baadae karudi kwa mkewe yeye na korodani zake hana kitu.
 
Back
Top Bottom