Tetesi: Tessy wa Aslay avamiwa, kisa mume wa mtu...

Tetesi: Tessy wa Aslay avamiwa, kisa mume wa mtu...

SAVE_20200515_220043.jpg
 
Kuna watu wana hela za michezo hapa mjini, mtu mwnye akili timamu unamnunulia gari na kumjengea singo maza tena danga[emoji23][emoji119][emoji3]

Bila kuja na ujenzi wa nyumba ilipofikia huu utakwa ni umbeya kama umbeya mwingine.
 
Kuna watu wana hela za michezo hapa mjini, mtu mwnye akili timamu unamnunulia gari na kumjengea singo maza tena danga[emoji23][emoji119][emoji3]
Mkuu kama hauna hela unatakiwa utulie uwe mtazamaji...
 
Sijui kwanini wanawake huwa hawasemi ukweli...

Kwamba nimeanzisha biashara hii ila kiungo cha uzazi kimeinywea hasaa hasaa...

Kuliko kushinda huko IG mnashindana locations...

Tizama sasa.
80% ya wadada ukiona yuko vzur kimtindo ujue papuch imehusika one way or wateva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha kuna mzee mmoja mstaafu mtaani na phd yake,kiinua mgongo chote kapeleka kwa wadada wa mjini wamempukutisha,baadae karudi kwa mkewe yeye na korodani zake hana kitu.
Na wewe mwanaume wa ajabu, ulitaka korodani zake aziache wapi? Si lazima aende nazo.
 
We acha kuna mzee mmoja mstaafu mtaani na phd yake,kiinua mgongo chote kapeleka kwa wadada wa mjini wamempukutisha,baadae karudi kwa mkewe yeye na korodani zake hana kitu.

Ni hatari sana hao wanaoitwa wanawake wa mjini
 
Back
Top Bottom