Na wewe uache umbeya,aliyekuambia huyo mwanaume nani?
ππ imagine... hao ndio wote wale ambao wakisha stahafu wanakuja kupatwa na strokekuna watu wana hela za michezo hapa mjini, mtu mwnye akili timamu unamnunulia gari na kumjengea singo maza tena danga[emoji23][emoji119][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana hela za michezo hapa mjini, mtu mwnye akili timamu unamnunulia gari na kumjengea singo maza tena danga[emoji23][emoji119][emoji3]
We acha kuna mzee mmoja mstaafu mtaani na phd yake,kiinua mgongo chote kapeleka kwa wadada wa mjini wamempukutisha,baadae karudi kwa mkewe yeye na korodani zake hana kitu.ππ imagine... hao ndio wote wale ambao wakisha stahafu wanakuja kupatwa na stroke
ila kuna mijitu mingine ina hela mzee acha kabisa...sio hela hizi za mawazo... though jambo. lingine pia mademu wa mjini wanajifukiza sana.. usiombe uwe na. helathen unase katika 18zzao utarogwa mpaka ukome