Test Yourself.

Test Yourself.

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
22,363
Reaction score
121,260
Since you’ll know everything, what is the answer.?

Dp8uDXiWoAAG6gs.jpg
 
Jibu ni 'B' hii ni kwakua kama ingekua jibu ni 'A' au 'C' basi zero ingetambulika kama 'Double Zero'

Thread closed. Sasa tunaanza utani.
 
hapo kuna ishu ya kutofautisha single na double numbers.
jibu hapo ni B kwa sababu swali linataka jibu liwe kwenye form ya single number.
 
Nimejibu si kwa sababu nataka unipe LIKE, bali kwa sababu niliamua kutoa mawazo yangu.

Jufunze kuheshimu mawazo ya wengine kabla hujakosoa!

Swali halihitaji maelezo/mawazo/mapendekezo.
 
Swali halihitaji maelezo/mawazo/mapendekezo.

Wee jamaa inaelekea hata ulikua haujui jibu la hili swali lako, kuna kosa gani -KANA- amefanya hapo? Ametoa jibu kama ulivyotaka kisha akaeleza kwanini amechagua B kuwa jibu, naona unataka kutuletea mambo ya gymkana. Binafsi sijaona alipokosea swahiba wangu.
 
Sijui.
 
Back
Top Bottom