Test Yourself.

Test Yourself.

Wee jamaa Vapor kabisa,

Mwenyewe kakiri hakutakiwa kufanya alichofanya,

Wew nani unambie nini natakiwa kufanya ama vinginevyo.?

Umesoma na kukielewa vizuri alichoandika -KANA- ? Mbona ulipouliza swali haujaweka namna ya jibu linavyotakiwa kutolewa?
Nikuulize, ni kipi alichokosea kwa kutoa hayo maelezo?

Mie ni The Monk wa JF nipo online
 
Umesoma na kukielewa vizuri -KANA- ? Mbona ulipouliza swali haujaweka namna ya jibu linavyotakiwa kutolewa?
Nikuulize, ni kipi alichokosea kwa kutoa hayo maelezo?

Mie ni The Monk wa JF nipo online

Nilitaka nikupuuze ila kwa sababu unataka kuelewa wacha tueleweshane,

Dp8uDXiWoAAG6gs.jpg

Hii post inauliza nini.?
 
Nilitaka nikupuuze ila kwa sababu unataka kuelewa wacha tueleweshane,

View attachment 905491

Hii post inauliza nini.?

Imeuliza "Whichi has two zero and two four"

Bado haujajibu swali langu la msingi, yametolewa maelekezo maalum ya namna sahihi ya kujibu hilo swali kwenye hilo swali kama wewe unavyotaka?

Unaweza kuipuuza hoja yangu lakini sio kunipuuza mimi.
 
Kuna maelekezo ya namna ya jibu linavyotakiwa liandikwe?

atakaeandika 2024 au B watapata au watakosa? Pia hapa hatupo darasani kwenye mtihani, Je, ni vibaya mtu kutoa maelekezo kwanini amechagua jibu kuwa B?

Bro usikalili,

Hakuna mahali nilisema ni vibaya alichofanya,

Angalia watangulizi wake ama yeyote baada yake kama yupo aliye jibu kama yeye.

Hii chitchat, ilikua swali rahisi tu la ku-boost akili.

Tuishie hapa, kama hujaelewa siku nyingine utanielewa sio lazima iwe leo.
 
Imeuliza "Whichi has two zero and two four"

Bado haujajibu swali langu la msingi, yametolewa maelekezo maalum ya namna sahihi ya kujibu hilo swali kwenye hilo swali kama wewe unavyotaka?

Unaweza kuipuuza hoja yangu lakini sio kunipuuza mimi.

Kama ndivyo, wapi na-demand maelezo hapo.?
 
Bro usikalili,

Hakuna mahali nilisema ni vibaya alichofanya,

Angalia watangulizi wake ama yeyote baada yake kama yupo aliye jibu kama yeye.

Hii chitchat, ilikua swali rahisi tu la ku-boost akili.

Tuishie hapa, kama hujaelewa siku nyingine utanielewa sio lazima iwe leo.

Chichat brother, one love, life is too short. Don't take it too serious as we are all dying anyway.

Hata hivyo nikupongeze kwa uvumulivu, sifa ya muhimu sana kwenye mijadala. Umejitahidi mno kubaki kwenye hoja na kutokuleta jazba.
 
Chichat brother, one love, life is too short. Don't take it too serious as no one will get alive.

Hata hivyo nikupongeze kwa uvumulivu, sifa ya muhimu sana kwenye mijadala. Umejitahidi mno kubaki kwenye hoja na kutokuleta jazba.

Nashukuru Chief,

Mijadala ni sehemu ya Maisha yangu.

Ilikuwa njema kukutana na wewe hapa.

Nikutakie siku njema.
 
Naona mnatikisana kidogo wakuu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nimefurahi kwamba tunapeana challenge kwa amani bila kupanic.

Heshima kwenu The Monk & Cpaitalpool
 
Naona mnatikisana kidogo wakuu.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nimefurahi kwamba tunapeana challenge kwa amani bila kupanic.

Heshima kwenu The Monk & Cpaitalpool

Its Capitalpool Chief, nashukuru pia.
 
Back
Top Bottom