Testimony: 1000 years in the world of darkness (1)

Sure
 
Remember what Jesus said to the Samaritan Woman on the book of John Chapter 4 ... In Short True Worship is composed of two elements that is IN SPIRIT and IN TRUTH . These elements are interdependent, you can't separate one from the other . When you Worship in Spirit with no Truth is not Worship of God . And when you Worship in Truth but not in Spirit also called idle Worship . NOTE : IT IS VERY DIFFICULT TO FIND THIS KIND OF WORSHIP IN CHURCHES , SO WHAT TO DO ? YOU MUST FIND IT BY ANY PRICE
 
Wasikutishe wewe tumia pete shetani hawana Chao mim binafsi siwez tishiwa nisitumie au kuvaa dhahabu shetan technically Hana chake hapa Dunia na kwenye universe yote
You are deceiving yourself, you have already programmed that's why you see it as Normal thing . Beware is Coming... better to believe it than to ignore .
 
Hoja zenu zina mushkeli..!! Huyo mwakasege Damu ya yesu kaitolea wapi? Na ana uthibitisho gani kama ni Damu ya Yesu? Au ni ndoto zake za mchana aliota?
You are totally polluted on your mind , you need deliverance. Go and ask witches , demons , Spirits of sicknesses etc is where you can get the answer of your doubt .
 
You are deceiving yourself, you have already programmed that's why you see it as Normal thing . Beware is Coming... better to believe it than to ignore .
Kujua elimu ya damu ya YESU ni wajibu wa kila mwanadamu kama hujui pole

Ukiwa na elimu ya damu ya YESU hivyo vitu alivyoongea mtoa uzi lazima uvijue ni haki kwa kila mwanadamu kujua elimu ya damu ya YESU
 
Miye napenda sana, gold aisee, ya kaisari tumpe kaisari ya Mungu tumpe Mungu.
Utakuja kujutia ... wakati wako wa kulia na kusaga meno ukikujilia. Ukiachaña navyo hutapungukiwa na chochote. Kumbuka uliumbwa kwa mfano wake . Think of it
 
Utakuja kujutia ... wakati wako wa kulia na kusaga meno ukikujilia. Ukiachaña navyo hutapungukiwa na chochote. Kumbuka uliumbwa kwa mfano wake . Think of it
Kwanin mtu ache kuvaa gold mambo mengine yanastaajabisha, Gold na vitu vyote ameumba Mungu kwanin watu wasitumie shetani Hana umiliki wa kitu chochote kile
 
Utakuja kujutia ... wakati wako wa kulia na kusaga meno ukikujilia. Ukiachaña navyo hutapungukiwa na chochote. Kumbuka uliumbwa kwa mfano wake . Think of it
Aisee miye muslim nasoma kwa ufahamu tuu hayo mambo kwetu gold haijakatazwa wala kujipamba ni ruska aisee.
 
Aisee miye muslim nasoma kwa ufahamu tuu hayo mambo kwetu gold haijakatazwa wala kujipamba ni ruska aisee.
Mchungaji wangu alikuwa mtoto wa Shekhe , ana ushuhuda mzito kwenye huduma yake .
" Iko njia ionekanayo ni sawa machoni pa mtu lakini mwisho wake ni njia ya upotevuni " Be aware
 
Kwanin mtu ache kuvaa gold mambo mengine yanastaajabisha, Gold na vitu vyote ameumba Mungu kwanin watu wasitumie shetani Hana umiliki wa kitu chochote kile
Nani kakupotosha hivyo ya kwamba Shetani hana umiliki wakati yeye ndiye mtawala wa Dunia hii ? Anatawala biashara ama Uchumi, anatawala science , anatawala Elimu uliyo au unayo soma , anatawala historia , anatawala utamaduni , anatawala Afya , anatawala siasa ... anatawala hatima yako . Thread hii ni darasa moja kubwa na lililojumuisha mambo mengi mno .
 
Wokovu ni mpango wa Mungu wa kumrejeza mwanadamu kwenye Ufalme wake , ndicho hata aliyekuletea ushuhuda huu kimemtokea . Wokovu siyo Dini hata kama wanakuaminisha kuwa ni Dini.
 
Sasa bila dini utamuabuduje Mungu?
 
Hakuna chochote anachotawala labda wewe wewe ndo anayekumiliki mim animiliki kwa lolote mkuu Kuna kitu kikubwa sana hukijui kuhusu spiritual world pole sana

Shetani ana pretend ni mmiliki wa Dunia lakin kiuhalisia sio mmiliki
 
Yani katika story za uwongo, kubuni za ajabu ajabu ni hii. Mtu anawezaje kutunga upuuzi wote huo? Mtu anaanzaje kuamini ujinga wa kiasi hiki?
Hizo shuhuda za wachungaji uchwara zipo, habari za malango ya shetani sijui chini ya bahari au ziwa Tanganyika ni stori za kahawa kitambo sana!
 
Kwani umeshikiwa fimbo uiamin
 
Hakuna chochote anachotawala labda wewe wewe ndo anayekumiliki mim animiliki kwa lolote mkuu Kuna kitu kikubwa sana hukijui kuhusu spiritual world pole sana

Shetani ana pretend ni mmiliki wa Dunia lakin kiuhalisia sio mmiliki
Shetani hana chochote zaidi ya uongo..
 
You are totally polluted on your mind , you need deliverance. Go and ask witches , demons , Spirits of sicknesses etc is where you can get the answer of your doubt .
Give me the answer stop meandering!! Kama huna majibu nyamaza! Sio kuleta hofu zako hapa zisizo na msingi...ushuhuda wenu acha huko huko kwa huyo aliye kutuma...leta hoja na nini kifanyike hiyo mnaita Damu ya Yesu inapatikana wapi?????? Give the answer!
 
Acha kututisha wewe! na shuhuda zako za Mchongo...njoo na hoja zenye mashiko sio kuongea vitu huna uthibitisho navyo...unaleta Hofu zako hapa kwa kutumia jina Mungu wewe ndio Demon unahitaji deliverance...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shetani hana chochote zaidi ya uongo..
Exactly uongo na kujaza watu hofu ndo maana anaitwa baba wa uongo

Hata ubunifu idea zinatoka kwa Mungu anachofanya shetani yuko sharp kwenye ulimwengu wa kiroho kitu ambacho wanadamu hatuko active anazikwapua zile idea anakuja kudanganya watu eti yeye ndo chanzo Cha idea uongo

Na Kuna idea nyingine shetani hazielewi kabisa anazichukua lakin hajui nin Cha kuzifanyia sababu alilaaniwa mfano idea ya space exploration hazielewagi kabisa ndo maana ameshindwa kutengeneza sayari yake kama Dunia, Shetani kama ananguvu aende mars atengeneze ozone layer watu tukaishi kama hayo mamlaka anayo jibu ni kwamba hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…