Tunakesha tukifanya majaribio ya kutangaza "live" kutoka studio zetu mpya... pembezoni mwa jiji la Detroit. Ukiingia kwenye KLH News upande wa kulia chini ya video kuna mahali panasema sikiliza "Live" na chagua player yako halafu nipe feedback.
nakupata live,namsikia mkapa katika hot chair,sisi wengine hatutumii computer kusikiliza hizi radio,sisi hutumia internet radio,una mpango wa kuipachika hii kitu humo,maana bongo radio tunampata katika hii radio