Testing KLH Live!

Testing KLH Live!

Jobo asante sana.

Hatuko hewani kwa sasa wakati tunaendelea kuboresha usikilizaji ili watu wenye dial up n.k waweza kusikiliza pia.
 
Sasa hatimaye tumefanikiwa kuunganisha mitambo yote na tunaweza kusikika hewani masaa 24 na tunatarajia kuanza kuwa na regular vipindi kuanzia siku chache zijazo. Unaweza kutusikiliza vizuri kabisa kwenye High na Low connections. Nawakaribisha musikilize na kunipa feedback mnavyotusikia na itakapofika saa tano kamili za usiku EST sawa na 12:00 za asubuhi East African time nitajaribu kuwa hewani.
 
Mwanakijiji,

Tunakupata vizuri, hata wale niliokuambia kwenye PM kuna wana matatizo ya kukupata, wamesema kuwa wanakupata.

Good job!
 
Asante sana... Bi. Mdogo.. sasa hivi tutaweza kuendeleza ushirikiano wetu na Bongo Radio vile vile kwani vifaa tulivyonavyo vinatuwezesha kusimulbroadcast katika studio zetu mbili.

Nawashukuru wote kwa support na ushirikiano.
 
Mkuu kwa sasa naburudika na taarabu isiyo na mkwaruzo hata kidogo! Big up man!
 
Nami naipata KLH news radio vizuri tu, muziki mwororo!!! Tanks Mzee Mwanakijiji.
 
nashukuru tutakuwa na nyimbo tofauti na kuanzia Jumatatu ijayo tutatoa utaratibu wa vipindi na burudani nyingine.
 
Enezeni ujumbe tu wandugu.. watumieni link watu wa kwenye address book zenu.. maana tukianza matangazo tunataka yafike kwa wengi, hasa walioko Bongo..
 
Mwanakijiji na mimi nawapata vizuri sana na quality ya muziki ni bomba kweli 192kbps nimeikubali. Mambo sasa ni mwendo mdundo speed 280mph Makini sana.
 
Mwanakijiji na mimi nawapata vizuri sana na quality ya muziki ni bomba kweli 192kbps nimeikubali. Mambo sasa ni mwendo mdundo speed 280mph Makini sana.

mazee.. huko tunakokwenda hizi nguvu zetu will be a force to reckon with.. Jana nilikuwa najaribu kuona jinsi ya kuweka ku simulcast na I figured it out na nadhani tutaweza as usual kuweza kutangaza special programs kwa wakati mmoja i.e mtu ataweza kusikia program hiyo hiyo kutoka Bongoradio au KLH News... wakati mwingine tuna run program tofauti... the only thing I'm struggling right now is penetrating the Tanzanian Airwaves!
 
Pamoja Inawezekana kabisa tuzidi kupiga akili tuone tutawezaje kukamilisha hilo la bongo. Tatizo la Bongo radio karibu zote hazina online broadcast na wala hazitumii Satelite kufanya matangazo yao. Afadhali hata wangekuwa kwenye JumpTV ingewezekana kuunganisha.

Yeah Simulcast inawezekana kabisa kwa sababu nilishajaribu kuunganisha KLHN na ikakubali bila ya matatizo.
 
Mkuu huku mashariki ninakupata vizuri sana, naomba kuuliza Mkuu, hivi ile huduma ya mziki wa kujichagulia mwenyewe umeisitisha?
 
Nimeizima kwa muda tu kwani sina control kubwa ya nyimbo zilizomo humo... ila kama kuna wafuasi wengi wanapenda nitaiwezesha tena..
 
Nimeizima kwa muda tu kwani sina control kubwa ya nyimbo zilizomo humo... ila kama kuna wafuasi wengi wanapenda nitaiwezesha tena..

sawa Mkuu, mimi nimekuwa nikiburudika mida fulani siku hizo zilizopita, sasa leo niliporejea toka shughuli kufika tu nikaona hola, hata hivyo nipo online, naendelea kupata uhondo wa pwani.
 
Kuanzia saa moja hivi EST (-5GMT)jioni nitakuwa live nikipiga piga kelele katika kujaribu mitambo nawakaribisha kuungana nami.
 
...mkuu page yako www.klhnews.com, kwangu mie leo inafunguka taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu, kunani tena?
au ndio kizenji-'mdebwedo'?
 
Back
Top Bottom