Mwanakijiji, bravo! Haya matangazo yamenikeep busy sana hapa nilipo. Nimekuwa nikijipa raha na miziki ya nyumbani asilia!
Na ile interview ya Mkapa na mwandishi wa kizungu jana usiku (kama saa sita usiku huku ulaya) ilinisisimua sana jinsi Mkapa alivyo mwongo!!!!!! Yaani yeye ni mkulima wa korosho!!!!!Halafu inaonyesha anawadharau sana wenzie wote except Mwalimu Nyerere! Mwinyi ingawa hamtaji, lakini impliedly inaonekana anamuona kama alikuwa ha exist! Pia haonekani kumwona JK kama yupo! Jamaa anajiona ni babu kubwa sana! Swali gumu, kwa nini hataki kuhojiwa na waandishi wanaomfahamu vizuri! Hivi mmewahi kumwalika klhnews akakataa! Mjaribuni next time akija USA, anaweza kubugi step akadahani ni redio ya Kimarekani! Halafu aone moto wake!
Ahsante sana kwa kuwa creative and hard working!