Ilikuwa inasikikaje huko na unatumia mtandao wa aina gani kusikiliza (wireless, broadband.. or dial up)?
Jobo asante sana.
Hatuko hewani kwa sasa wakati tunaendelea kuboresha usikilizaji ili watu wenye dial up n.k waweza kusikiliza pia.
Sasa hatimaye tumefanikiwa kuunganisha mitambo yote na tunaweza kusikika hewani masaa 24 na tunatarajia kuanza kuwa na regular vipindi kuanzia siku chache zijazo. Unaweza kutusikiliza vizuri kabisa kwenye High na Low connections. Nawakaribisha musikilize na kunipa feedback mnavyotusikia na itakapofika saa tano kamili za usiku EST sawa na 12:00 za asubuhi East African time nitajaribu kuwa hewani.
Mwanakijiji na mimi nawapata vizuri sana na quality ya muziki ni bomba kweli 192kbps nimeikubali. Mambo sasa ni mwendo mdundo speed 280mph Makini sana.
mazee.. huko tunakokwenda hizi nguvu zetu will be a force to reckon with.. Jana nilikuwa najaribu kuona jinsi ya kuweka ku simulcast na I figured it out na nadhani tutaweza as usual kuweza kutangaza special programs kwa wakati mmoja i.e mtu ataweza kusikia program hiyo hiyo kutoka Bongoradio au KLH News... wakati mwingine tuna run program tofauti... the only thing I'm struggling right now is penetrating the Tanzanian Airwaves!
Nimeizima kwa muda tu kwani sina control kubwa ya nyimbo zilizomo humo... ila kama kuna wafuasi wengi wanapenda nitaiwezesha tena..