TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina fani mbili

TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina fani mbili

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Taasisi ya Elimu Tanzania imepokea barua yenye Kumb. CA.229/238/01A/14 ya tarehe 14 Machi 2024, kuhusu mada tajwa hapo juu.

3. TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi ambazo zina fani mbili. Pia, katika orodha hii TET imeongeza tahasusi zilizopitishwa kwa ajili ya mkondo wa Amali. Vilevile, TET imependekeza kada kwa kila tahasusi kama ilivyoelekezwa kwenye barua ya awali.

4. Naomba kuwasilisha kwako, Tahasusi pamoja na kada zake zilizopendekezwa kama zilivyoambatanishwa kwenye Jedwali Na. 1 kwa hatua zaidi.

5. Wako katika ujenzi wa taifa.

Screenshot 2026-02-04 180351.png
Screenshot 2026-02-04 180407.png
 

Attachments

Back
Top Bottom