Tetema ilianza na MK14 sio huyu wa juzi anayeiga

Tetema ilianza na MK14 sio huyu wa juzi anayeiga

Kindoki akiwa Sub na golini alikaa Kabwili na pasi ilidibuliwa na Captain JB Rafael ninachokumbuka tu ile ndoo Kabwili alibadilishiwa upande na mtangazaji badala ya kusema goooooooo yeye akasema Kabwiliiiiiiiiiiiiiiiiii. Head maridhawa inaenda kulia huko Ramadhani Kabwili amesimama kimshazari na Kindoki analalama kwa kuona kijana karuhusu goli jepesi sana. Oh anatetema shika chini tetema oh mama tetema.
Hv umelisahau kile kimoko Cha Morison.. bado Huyu Mzee wa kutetema kawaweka pia.. bado kile Cha Mauya.. kweli we ni Kolo humu kichwani yamejaa mabwabwa tu
 
Back
Top Bottom