Kindoki akiwa Sub na golini alikaa Kabwili na pasi ilidibuliwa na Captain JB Rafael ninachokumbuka tu ile ndoo Kabwili alibadilishiwa upande na mtangazaji badala ya kusema goooooooo yeye akasema Kabwiliiiiiiiiiiiiiiiiii. Head maridhawa inaenda kulia huko Ramadhani Kabwili amesimama kimshazari na Kindoki analalama kwa kuona kijana karuhusu goli jepesi sana. Oh anatetema shika chini tetema oh mama tetema.