Ukiisikiliza hiyo nyimbo kwa umakini zaidi ukiwa na familia yenu(Baba + Mama + Kaka + Dada) na kuielewa vizuri kimaadili nistue nije nikufanyie maombi Bosi.View attachment 1191124
Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.
Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya wanakwama wapi au wana nia gani ovu !!
Wenzetu Kenya wana roho korosho
Wakenya wanachelewa kuelewa Mambo.View attachment 1191124
Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.
Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya wanakwama wapi au wana nia gani ovu !!
Wakaongeza Kuwa Hauruhusiwi Kuchezwa Nje Ya Kumbi za StareheWanadai wimbo una ujumbe fiche(coded/message) ambao maudhi yake ni matusi na ponografia ambao haufai
hiyo nyimbo[emoji777]Ukiisikiliza hiyo nyimbo kwa umakini zaidi ukiwa na familia yenu(Baba + Mama + Kaka + Dada) na kuielewa vizuri kimaadili nistue nije nikufanyie maombi Bosi.
Hahahahhiyo nyimbo[emoji777]
Huo wimbo[emoji818]
Wenyewe wamesema huo wa Tetema unafaa kwa watu wazima tu hivyo uwe unapigwa kwenye bars na nightclubs tu.Nyimbo nyingi za diamond hazifai kusikilizwa na watu wazima