Tetema yafungiwa Kenya

Tetema yafungiwa Kenya

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
IMG_0085.JPG

Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.

Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya wanakwama wapi au wana nia gani ovu !!
 
View attachment 1191124

Ukiisikiliza hiyo nyimbo kwa umakini zaidi ukiwa na familia yenu(Baba + Mama + Kaka + Dada) na kuielewa vizuri kimaadili nistue nije nikufanyie maombi Bosi.
 
We cheza kwangwaru inama inama, ila nyuma nipo mimi
 
View attachment 1191124

Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.

Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya wanakwama wapi au wana nia gani ovu !!
Wakenya wanachelewa kuelewa Mambo.

Mpaka warudie rudie mara Mia nane.
 
Hawa vijana hawana ushauri wa watu wenye upeo..., very talented individuals.., na wanatoa music safi, melody n.k. ila maudhui yake yanawa-side track baadhi ya wasikilizaji na muziki kama huu ni vigumu kudumu.., sidhani kama wanashindwa kubakiza kila kitu vile vile ila maudhui yakabadilika.., inakuwa kama hawana wazazi .....
 
Nyimbo nyingi za diamond hazifai kusikilizwa na watu wazima
Wenyewe wamesema huo wa Tetema unafaa kwa watu wazima tu hivyo uwe unapigwa kwenye bars na nightclubs tu.
 
Back
Top Bottom