Rekodi mbili za Diamond mojawspo "tetema" zimepigwa marufuku nchini Kenya.
Serikali ya Kenya imeziita rekodi hizo kuwa pornography.
Habari hii iko BBC jioni ya leo.
Tukumbuke hata Tanzania kuna rekodi za Diamond zilipigwa marufuku.
My Take:
Diamond inabidi aelewe ustaarabu na global reach ya muziki.
Kuna siku narudi bongo toka Dubai na kupenda kusikiliza miziki ya Afrika kwenye ndege ya Emirates music channel.
Mziki wa Diamond ukawa na listening warning, kuwa mziki huo una porno insinuation na si suitable for the underaged.
Na Diamond aelewe kuwa dunia si Tandale.