Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Acha dharau kwa majirani zetu wa kenyaMimeskia kumetokea tetemeko Kenya....
Vp tuwaletee tani ngapi huko......?
Fungukeni Msione aibu Sisi huku vyakula vinaozea kwenye maghala....
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeHilo tetemeko la ardhi jana ndio lilisababisha huu uharibifu wa hii mianya barabarani kule Mai Mahiu, Naivasha County.
Lakin vp hakuna maafa yalioripotiwa?Hilo tetemeko la ardhi jana ndio lilisababisha huu uharibifu wa hii mianya barabarani kule Mai Mahiu, Naivasha County.
Lilikua la ukubwa gani budaa duuHilo tetemeko la ardhi jana ndio lilisababisha huu uharibifu wa hii mianya barabarani kule Mai Mahiu, Naivasha County.
mwenyewe nawapa pole maana ni majirani zangu hata tuliopo karibu na kenya tulitikiswaPoleni sana mkuu kama ni uharibifu wa miundo mbinu hiyo inatengenezeka la uhai haupatikani popote
Muache huyo pimbi, watu wengine ni wa kupuuzwa tu. Utaanzaje kufurahia tukio kama tetemeko la ardhi kwa jirani. Amenikumbusha lile tukio la tetemeko la ardhi kule Bukoba na response ya ujirani mwema kutoka kwa rais Uhuru Kenyatta na wakenya.Acha dharau kwa majirani zetu wa kenya
Hakuna maafa jombaa, ni uharibifu tu wa mianya kwenye daraja moja na barabara ya Mai Mahiu-Naivasha.Lakin vp hakuna maafa yalioripotiwa?
4.8 magnitude na inasemekana hapa A.M. tetemeko lilitikisa sanasana sehemu za Taita Taveta, Kenya baadhi ya sehemu hizo za mpakani Tanzania na sehemu zingine duniani kama Spain na nadhani Indonesia.
Yaa huku lilipita Kilimanjaro poleni sana asee4.8 magnitude na inasemekana hapa A.M. tetemeko lilitikisa sanasana sehemu za Taita Taveta, Kenya baadhi ya sehemu hizo za mpakani Tanzania na sehemu zingine duniani kama Spain na nadhani Indonesia.