Tetemeko Kenya

Tetemeko Kenya

Kumbukeni kwamba sehemu hizo hizo za Suswa, Narok County kwenye hiyo barabara ya Mai Mahiu- Naivasha ndio kuliibuka mwanya mkubwa mwaka jana. Wanajeolojia wanasema mwanya huo utakuja kuigawanisha nchi ya Kenya na bara la Afrika mara mbili.
jtXev6QrQ3suswa-pic.jpg
Tetemeko lingine la ardhi likija wenzenu sisi tutawaaga, na masaibu yenu mengi, tuanzishe bara letu jipya la New Afrika! 😀
So kenya itakuwa ka continent ingine ama?tutakuwa karibu na Australia?
 
So kenya itakuwa ka continent ingine ama?tutakuwa karibu na Australia?
Kutakuwa na North na South Kenya. Sisi tutaondoka na County zetu za Migori, Taita Taveta, Mombasa, Lamu, Narok na Kajiado. Tukajiunge na wakuria, wadigo na wamaasai wenzetu Tz kwenye bara letu jipya la New Afrika tuwaache mkizinguana huko Kenya yenu ya kaskazini. [emoji1]
 
Kutakuwa na North na South Kenya. Sisi tutaondoka na County zetu za Migori, Taita Taveta, Mombasa, Lamu, Narok na Kajiado. Tukajiunge na wakuria, wadigo na maasai wenzetu Tz kwenye bara letu mpya la New Afrika tuwaache mkizinguana huko Kenya yenu ya kaskazini. [emoji1]
Hii haiezi happen,hao watu huongea tu hata kitambi walisema tukifika 21 century sijui kutakuwa na gari zinaendeshwa juu ya hewa ,ati sijui 21 century hakutakuwa na beaches walisema vitu mob but inakuanga tu ufala,hio ikafanyika dunia inaisha haha
 
Kumbukeni kwamba sehemu hizo hizo za Suswa, Narok County kwenye hiyo barabara ya Mai Mahiu- Naivasha ndio kuliibuka mwanya mkubwa mwaka jana. Wanajeolojia wanasema mwanya huo utakuja kuigawanisha nchi ya Kenya na bara la Afrika mara mbili.
jtXev6QrQ3suswa-pic.jpg
Tetemeko lingine la ardhi likija wenzenu sisi tutawaaga, na masaibu yenu mengi, tuanzishe bara letu jipya la New Afrika! 😀
Hahahahah but nahisi hiyo ni process ya miaka mingi kidogo... Saa mtuage afu watanzania mtatuachia mtani gani jamani... Najua hua tunatoana jasho humu but haimaanishi hatuwapendi nyie ni majirani ambao kuna vitu tunafuata toka kwenu na kuna vitu wakenya wanajifunza tz so kiukwel hamna Kenya bila tz na hakuna tz bila Kenya ...we love u guys

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom