Tetemeko Kenya

So kenya itakuwa ka continent ingine ama?tutakuwa karibu na Australia?
 
So kenya itakuwa ka continent ingine ama?tutakuwa karibu na Australia?
Kutakuwa na North na South Kenya. Sisi tutaondoka na County zetu za Migori, Taita Taveta, Mombasa, Lamu, Narok na Kajiado. Tukajiunge na wakuria, wadigo na wamaasai wenzetu Tz kwenye bara letu jipya la New Afrika tuwaache mkizinguana huko Kenya yenu ya kaskazini. [emoji1]
 
Hii haiezi happen,hao watu huongea tu hata kitambi walisema tukifika 21 century sijui kutakuwa na gari zinaendeshwa juu ya hewa ,ati sijui 21 century hakutakuwa na beaches walisema vitu mob but inakuanga tu ufala,hio ikafanyika dunia inaisha haha
 
Hahahahah but nahisi hiyo ni process ya miaka mingi kidogo... Saa mtuage afu watanzania mtatuachia mtani gani jamani... Najua hua tunatoana jasho humu but haimaanishi hatuwapendi nyie ni majirani ambao kuna vitu tunafuata toka kwenu na kuna vitu wakenya wanajifunza tz so kiukwel hamna Kenya bila tz na hakuna tz bila Kenya ...we love u guys

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…