Tetemeko kubwa la ardhi latingisha Colombia — zaidi ya watu 100 wafariki

Tetemeko kubwa la ardhi latingisha Colombia — zaidi ya watu 100 wafariki

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 7.4 limeikumba sehemu ya magharibi mwa Colombia, likisababisha uharibifu mkubwa wa majengo na vifo vya zaidi ya watu 100.

Tetemeko hilo lilitokea Jumatatu, Agosti 10, 2026, huku kitovu chake kikielezwa kuwa karibu na San José del Palmar, katika eneo la Chocó, magharibi mwa Colombia.

Miji kadhaa ikiwemo Pereira, Cali, Quibdó na Manizales imeathirika, huku baadhi ya majengo yakiporomoka na watu kunaswa chini ya vifusi. Operesheni za uokoaji zinaendelea huku mamlaka zikifanya tathmini ya ukubwa wa maafa.

Tetemeko hilo pia lilihisiwa katika nchi jirani ya Ecuador, na wataalamu wameonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa mitikisiko ya baadaye (aftershocks).

Kwa mujibu wa taarifa za sasa, idadi ya vifo imefikia zaidi ya 100, huku idadi ya majeruhi na watu walioathirika ikiendelea kubainishwa kadri shughuli za uokoaji zinavyoendelea.

Hili ni moja ya matetemeko makubwa zaidi yaliyoikumba Colombia katika karne hii.





============

At least 132 people are dead and a state of emergency has been declared after Colombia was hit by one of its largest earthquakes in years.

The death toll is likely to rise, with more feared trapped under collapsed buildings.

The magnitude 7.4 quake struck at 07:34 (12:34 GMT) at a depth of 103km (64 miles) in Chocó province, the country's geological service said. It was felt across an enormous area, stretching for hundreds of miles across western Colombia.

Many of the deaths have been concentrated in the city of Pereira, in Colombia's coffee-growing region, with surrounding cities and the Valle del Cauca region also hit hard.

The epicentre of the quake was near the village of San José del Palmar, in Chocó province, but local mayor León Fabio Marín Moncada said that there had miraculously been no deaths or injuries - despite the roads in and out being damaged.

More than 480 people were injured in the quakes, Colombia's Association of Capital Cities wrote in a statement update on Monday.

About 55km (34 miles) from the epicenter of the earthquake, the city of Pereira saw some of the worst damage.



Source: CNN & BBC
 
Back
Top Bottom