Tetemeko kubwa laikumba Yanga, timu kwenda Zambia kwa treni

Hayo ndio maisha mkuu ,hatuna jinsi .
 
hamna mkuu. yupo mzee mzima Akilimali atakata pochi la nauli ya ndege bana!
 
hamna mkuu. yupo mzee mzima Akilimali atakata pochi la nauli ya ndege bana!
Mkuu ukiona hvyo elewa kuwa sasa HV maji ya mustach, hali imeshakuwa ngumu, wachezaji hawajalipwa miazi minne sasa tumeingia wa tano
 
Tulikumbatia utumwa/ombaomba na kuukubali na haya yanaweza kuwa matokeo.
Mbona TP Mazembe bosi wao ana matatizo na yuko uhamishoni lakini timu inaendelea? Tumeshindwa kuona nguvu ya brands za timu zetu na kutengeneza structures za cash flow na matokeo yake tutaenda kuwaomba hata house keepers wa so called matajiri hata kwa tickets wakati juzi tu timu ilicheza big match ambayo kama ingelikuwa kwa wenzetu sasa hivi kwa juzi tu angalau wallets zingecheka na US $100m
 
Yanga imeanza kupanda ndege kabla wewe na Manji hamjazaliwa
 
Hili ndilo tatizo la timu kuendeshwa na ma-SugarDaddy kama Manji; mambo yakimwendea kombo anataka na timu iende kombo. Ile mechi ya simba inaonekana dhahiri wachezaji hawakuwa na motisha wala molari ya kushinda kisa sugardady anasakamwa na serikali. Mbaya sana hii. Lazima timu zetu ziendeshwe kioganaizesheni, sio kwa kutumia masugardady.
 
Kwa wale waliosoma co ordinate,tukitafuta slope ya ndege kwa treni tena Tazara,slope yake siyo ya kitoto.
 
Ndio balaa lakutegemea mtu mmoja siku akifa tu balaaa linaanza Taasisi uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…