Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Wana Vyeti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaa kapanc xanaa mbka tuxiiiHahahah mkuu mbona umetumia lugha kali hivyo...!!!!
hamna mkuu. yupo mzee mzima Akilimali atakata pochi la nauli ya ndege bana!Katika ile hali isiyotarajiwa, team pendwa wenyewe wakiita timu ya wananchi wamekutwa na tetemeko kubwa la kiuchumi kwa kuwa na hali mbaya ya kifedha.
Kutokana na utata huo uongozi wa juu wa timu hyo umeamua kusafirisha timu hyo kwenda nchini Zambia kumenyana na zanaco fc ya nchini humo kwa njia ya treni kupitia reli ya tazara had ktk kampilimposhi,
Mmoja wa kiongozi wa juu alionekana maeneo ya station ya tazara kwa ajili ya shughuli za booking na kuhitaji kujua taratibu za usafiri hyo
Alipoulizwa na mnyetishaji wetu kuwa kwnn wameamua kutumia usafiri huo alijibu kuwa wameamua kutumia usafiri huo kama njia rahis ya kuwawezesha kufika Zambia kwan wakiondoka alhamis ijumaa watakuwa Zambia, akaendelea pia kudai kuwa kocha ndo kashauri hvyo.
My take:
Ukisikia joto la jiwe ndo hili
Mkuu ukiona hvyo elewa kuwa sasa HV maji ya mustach, hali imeshakuwa ngumu, wachezaji hawajalipwa miazi minne sasa tumeingia wa tanohamna mkuu. yupo mzee mzima Akilimali atakata pochi la nauli ya ndege bana!
Ya mizigo.Hiyo treni ni ya mizigo au ya abiria
Ya mizigo.
hiyo ya madafuWakae first class kwa hela ipi?
Kaka hiyo tren level ya ndege uwezifananisha na tazara, kitu cha umeme hicho full mwendoManchester united wenyewe huwa wanapanda train, itakuwa Yanga. Mabashite kumbe mko wengi eeh.
View attachment 476013 View attachment 476014
Ahsante kwakuonesha ukichaa wako sasa Tazara na hii picha kuna ufananoManchester united wenyewe huwa wanapanda train, itakuwa Yanga. Mabashite kumbe mko wengi eeh.
View attachment 476013 View attachment 476014
Anajipa moyo tu huyu naona kaathirika na Kichuya deseasKaka hiyo tren level ya ndege uwezifananisha na tazara, kitu cha umeme hicho full mwendo