Tetemeko kubwa laikumba Yanga, timu kwenda Zambia kwa treni

Hadithi hii amaekusimulia nani na amekueleza ina maana gani??
 
Manchester united wenyewe huwa wanapanda train, itakuwa Yanga. Mabashite kumbe mko wengi eeh.

View attachment 476013 View attachment 476014

Unahitaji Brain Transplant Ya Haraka Sana!
Hivi Train Ya Uengereza Unaifananisha na Ya Tazara inayosafirishiwa Mahindi??
Kwa Taatifa Yako Train Hiyo Waliyopanda Man U ni Bora Kwa Level Kuliko Bombardia Zenu....
 
Hivi kuna treni inayotoka alhamis hapa,acha kukurupuka
 
Unahitaji Brain Transplant Ya Haraka Sana!
Hivi Train Ya Uengereza Unaifananisha na Ya Tazara inayosafirishiwa Mahindi??
Kwa Taatifa Yako Train Hiyo Waliyopanda Man U ni Bora Kwa Level Kuliko Bombardia Zenu....

Hahahahaaa., mkuu wewe sikujibu kwa sasa ngoja kwanza kichwa yako irekebishwe na Klopp then nitakujibu mubashara. Ila jua kuwa pamoja na kupakia mahindi train ya Tazara ina first class kama ya bombadier zetu
 
Mkuu unajua kuwa unaongelea Bilioni 225?
Tzs 225,000,000,000
Unaziogopa hizi pesa kwa kuziona nyingi na ndio maana tukiambiwa yanga au Simba ina thamani ya Billion 300 wanatokea watu wanasema haiwezekani na wataikodisha kwa million 50 kwa mwaka. Tusichojiuliza ni kwamba wenyewe wana hesabu billions as individuals wakati timu hazina hata pesa za kulala guest za Tandika mpaka wao watake! Hayo yanawezekana Mazembe, Man U au Barca!?
Ndio maana Trump anasema 'as long as you will be thinking, think big'!
 

Hujanielewa...ingawa unachosema ni sahihi
 
Daaaah namkumbuka sana mheshimiwa kikwete na ule usemi wake wa "maisha ni mzunguko" toka kuweka kambi uturuki hotel ya 5 star mpk kusafiri to Zambia na train duuuu kweli hatunywi sumu hatujinyongi ...... wataisoma namba eeeh
 
Sabab zingne bwana c waseme tu maji yamezd [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afadhal selfie zipungue maana tulichoka sasa
 
Ile "makopolo" yao nayo haina matairi au hawajalipa "lodi lasensi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…