Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Bora wangetembea kwa mguu maana hiyo treni ni kama mkokoteni wa punda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwakuonesha ukichaa wako sasa Tazara na hii picha kuna ufanano
Haina vitiHiyo treni ni ya mizigo au ya abiria
Hadithi hii amaekusimulia nani na amekueleza ina maana gani??Katika ile hali isiyotarajiwa, team pendwa wenyewe wakiita timu ya wananchi wamekutwa na tetemeko kubwa la kiuchumi kwa kuwa na hali mbaya ya kifedha.
Kutokana na utata huo uongozi wa juu wa timu hyo umeamua kusafirisha timu hyo kwenda nchini Zambia kumenyana na zanaco fc ya nchini humo kwa njia ya treni kupitia reli ya tazara had ktk kampilimposhi,
Mmoja wa kiongozi wa juu alionekana maeneo ya station ya tazara kwa ajili ya shughuli za booking na kuhitaji kujua taratibu za usafiri hyo
Alipoulizwa na mnyetishaji wetu kuwa kwnn wameamua kutumia usafiri huo alijibu kuwa wameamua kutumia usafiri huo kama njia rahis ya kuwawezesha kufika Zambia kwan wakiondoka alhamis ijumaa watakuwa Zambia, akaendelea pia kudai kuwa kocha ndo kashauri hvyo.
My take:
Ukisikia joto la jiwe ndo hili
Manchester united wenyewe huwa wanapanda train, itakuwa Yanga. Mabashite kumbe mko wengi eeh.
View attachment 476013 View attachment 476014
vi kwa juzi tu angalau wallets zingecheka na US $100m
Unahitaji Brain Transplant Ya Haraka Sana!
Hivi Train Ya Uengereza Unaifananisha na Ya Tazara inayosafirishiwa Mahindi??
Kwa Taatifa Yako Train Hiyo Waliyopanda Man U ni Bora Kwa Level Kuliko Bombardia Zenu....
Unaziogopa hizi pesa kwa kuziona nyingi na ndio maana tukiambiwa yanga au Simba ina thamani ya Billion 300 wanatokea watu wanasema haiwezekani na wataikodisha kwa million 50 kwa mwaka. Tusichojiuliza ni kwamba wenyewe wana hesabu billions as individuals wakati timu hazina hata pesa za kulala guest za Tandika mpaka wao watake! Hayo yanawezekana Mazembe, Man U au Barca!?Mkuu unajua kuwa unaongelea Bilioni 225?
Tzs 225,000,000,000
Unaziogopa hizi pesa kwa kuziona nyingi na ndio maana tukiambiwa yanga au Simba ina thamani ya Billion 300 wanatokea watu wanasema haiwezekani na wataikodisha kwa million 50 kwa mwaka. Tusichojiuliza ni kwamba wenyewe wana hesabu billions as individuals wakati timu hazina hata pesa za kulala guest za Tandika mpaka wao watake! Hayo yanawezekana Mazembe, Man U au Barca!?
Ndio maana Trump anasema 'as long as you will be thinking, think big'!
Hzo zpo sawa na zetu? Gwajima bwanaManchester united wenyewe huwa wanapanda train, itakuwa Yanga. Mabashite kumbe mko wengi eeh.
View attachment 476013 View attachment 476014
Afadhal selfie zipungue maana tulichoka sasaHili ndilo tatizo la timu kuendeshwa na ma-SugarDaddy kama Manji; mambo yakimwendea kombo anataka na timu iende kombo. Ile mechi ya simba inaonekana dhahiri wachezaji hawakuwa na motisha wala molari ya kushinda kisa sugardady anasakamwa na serikali. Mbaya sana hii. Lazima timu zetu ziendeshwe kioganaizesheni, sio kwa kutumia masugardady.
Unatafuta Basha Sio?Hahh.. nanza kuyaona mapovu kutoka kwenye ndege mpka Treni dadekii.. boss mzigo hauziki
Nafasi zimejaaIli kuwapooza yanga, manji kuteuliwa mbunge soon.
Kufungwa hilo halina mjadalawakifungwa wasi seme treni iliwachosha..