Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 lililohisiwa katika sehemu mbalimbali za Iran linaibua wasiwasi kuwa huenda lilikuwa jaribio la silaha za nyuklia. Kituo cha kugundua mitetemeko cha Armenia kiliripoti kutokuwepo kwa mitetemeko midogo ya baadae, na tukio hilo la kitetemeko, ambalo lilitokea katika eneo la jangwa kaskazini mwa Iran, lina sifa zinazofanana na mlipuko.

=======================
Breaking News: Suspicion of Nuclear Test in Iran Following Earthquake! 🇮🇷⚡️

A 4.6 magnitude earthquake felt across parts of Iran is raising alarms that it may have been a nuclear weapons test. An Armenian seismic detection center reported no aftershocks, and the seismic event, which originated in an open desert area of northern Iran, has characteristics resembling an explosion.

While these claims are unconfirmed, evidence is mounting that Iran might have conducted its first nuclear weapons test. Stay tuned for further updates as this situation develops!
Israel alipize tu kisasi haya maruweruwe yaishe, unaweza sikia Ayyatollah kumbe una uwezo wa kupaa angani.
 
Hawa hawa ndio walituambia kuwa Saddam alikuwa na silaha za maangamizi.

Hapa US anatafuta sababu ya kuingia vitani kumsaidia Israel kumuondoa Ayatollah ingawa sijui kama wamejiandaa vya kutosha kulabiliana na madhara ya uamuzi w aina hiyo iwapo kweli watathubutu kufanya hivyo.
Marekani analazimishwa tu na Israel aingie vitani na Iran ila US hataki kuingia vitani na Iran ila tu itabidi asimame na Israel cos kumuacha Israel apigwe kabisa basi kitakachofuata ni kumuondoa hapo mashariki ya kati
 
Iran hailinganishwi na Iraq, hata hivyo hii ni 2024 siyo 2000.
Us na Israel watapigika
 
Hawa hawa ndio walituambia kuwa Saddam alikuwa na silaha za maangamizi.

Hapa US anatafuta sababu ya kuingia vitani kumsaidia Israel kumuondoa Ayatollah ingawa sijui kama wamejiandaa vya kutosha kulabiliana na madhara ya uamuzi w aina hiyo iwapo kweli watathubutu kufanya hivyo.
Hii vita tinaishabikia ila madhara yake yatatufika. Mafuta ya Iran yakilipuliwa sisi huku tutalia
 
Marekani analazimishwa tu na Israel aingie vitani na Iran ila US hataki kuingia vitani na Iran ila tu itabidi asimame na Israel cos kumuacha Israel apigwe kabisa basi kitakachofuata ni kumuondoa hapo mashariki ya kati
U.S akiingia jua kuna nchi nyingi washirika wa iran na ambao wapo vizuri kinyuklia nao watazama sioni U.S.A akiingia vita ambayo anajua hatofaidika na hatoshinda jua kwamba iran ni millitary ally wa russia na russia ni north korea na china indirectly hii inamweka iran kwenye position ya kuwa na ubia na nchi 3 zenye jeshi kubwa na nguvu za ki nyuklia ikiwemo yeye kama mzalishaji pia wa nyuklia .

Kilichobaki kwa U.S.A asambaze propaganda tu ambazo nazo hazifanyi kazi maana watu wameojionea kwa macho yao jinsi alivyo mnafiki protest zilizokuwa zinatokea ndani ya nchi yake ni jibu tosha la propaganda ku fail .
 
Lini Iran amemiliki hyo kitu?
Kufikia February UN nuke watchdog walitoa ripoti Iran imerutubisha Uranium kiwango zaidi ya kuunda silaha za nuke.
Na toka hapo Iran ilipoondolewa vikwazo vya kimataifa vya silaha ikaficha ripoti zake za vinu vya nuclear.
Jiulize hadi sasa atakua hana!?
 
Anashindwa kuelewa Iran hawezi weka wazi juu ya project yake hiyo ya nuke missiles.

Project ilianza kitambo, mpaka sasa hakosi nuke
 
Kufikia February UN nuke watchdog walitoa ripoti Iran imerutubisha Uranium kiwango zaidi ya kuunda silaha za nuke.
Na toka hapo Iran ilipoondolewa vikwazo vya kimataifa vya silaha ikaficha ripoti zake za vinu vya nuclear.
Jiulize hadi sasa atakua hana!?
Self consoltion
 
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 lililohisiwa katika sehemu mbalimbali za Iran linaibua wasiwasi kuwa huenda lilikuwa jaribio la silaha za nyuklia. Kituo cha kugundua mitetemeko cha Armenia kiliripoti kutokuwepo kwa mitetemeko midogo ya baadae, na tukio hilo la kitetemeko, ambalo lilitokea katika eneo la jangwa kaskazini mwa Iran, lina sifa zinazofanana na mlipuko.

=======================
Breaking News: Suspicion of Nuclear Test in Iran Following Earthquake! 🇮🇷⚡️

A 4.6 magnitude earthquake felt across parts of Iran is raising alarms that it may have been a nuclear weapons test. An Armenian seismic detection center reported no aftershocks, and the seismic event, which originated in an open desert area of northern Iran, has characteristics resembling an explosion.

While these claims are unconfirmed, evidence is mounting that Iran might have conducted its first nuclear weapons test. Stay tuned for further updates as this situation develops!
Ali Kamhanei 🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom