Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

Israel alipize tu kisasi haya maruweruwe yaishe, unaweza sikia Ayyatollah kumbe una uwezo wa kupaa angani.
 
Lini Iran amemiliki hyo kitu?
Hawa waajemi wa Lingusenguse hawajui hili,wao wanakwambia anazo nyuklia bombs, sawa na wayahudi wa Naliendele ambao wanakwambia Siraili ana nguvu kubwa bila ya kujua kuwa nguvu alizonato ni za "mtungo" wa nchi kibao.
 
Marekani analazimishwa tu na Israel aingie vitani na Iran ila US hataki kuingia vitani na Iran ila tu itabidi asimame na Israel cos kumuacha Israel apigwe kabisa basi kitakachofuata ni kumuondoa hapo mashariki ya kati
 
Iran hailinganishwi na Iraq, hata hivyo hii ni 2024 siyo 2000.
Us na Israel watapigika
 
Hii vita tinaishabikia ila madhara yake yatatufika. Mafuta ya Iran yakilipuliwa sisi huku tutalia
 
Marekani analazimishwa tu na Israel aingie vitani na Iran ila US hataki kuingia vitani na Iran ila tu itabidi asimame na Israel cos kumuacha Israel apigwe kabisa basi kitakachofuata ni kumuondoa hapo mashariki ya kati
U.S akiingia jua kuna nchi nyingi washirika wa iran na ambao wapo vizuri kinyuklia nao watazama sioni U.S.A akiingia vita ambayo anajua hatofaidika na hatoshinda jua kwamba iran ni millitary ally wa russia na russia ni north korea na china indirectly hii inamweka iran kwenye position ya kuwa na ubia na nchi 3 zenye jeshi kubwa na nguvu za ki nyuklia ikiwemo yeye kama mzalishaji pia wa nyuklia .

Kilichobaki kwa U.S.A asambaze propaganda tu ambazo nazo hazifanyi kazi maana watu wameojionea kwa macho yao jinsi alivyo mnafiki protest zilizokuwa zinatokea ndani ya nchi yake ni jibu tosha la propaganda ku fail .
 
Lini Iran amemiliki hyo kitu?
Kufikia February UN nuke watchdog walitoa ripoti Iran imerutubisha Uranium kiwango zaidi ya kuunda silaha za nuke.
Na toka hapo Iran ilipoondolewa vikwazo vya kimataifa vya silaha ikaficha ripoti zake za vinu vya nuclear.
Jiulize hadi sasa atakua hana!?
 
Anashindwa kuelewa Iran hawezi weka wazi juu ya project yake hiyo ya nuke missiles.

Project ilianza kitambo, mpaka sasa hakosi nuke
 
Self consoltion
 
Ali Kamhanei 🔥🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…