Tetemeko la ardhi limeipa muda huu Geita, eneo la Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe

Tetemeko la ardhi limeipa muda huu Geita, eneo la Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
 
Hakuna viumbe wa kijani waliopatwa na mfadhaiko wowote kiongozi?(maisha ya mtanzania yameshakuwa ya kuviziana na kuombeana mabaya sahivi)

Anyway poleni kama kutakuwa na shida yoyote imetokea
 
Hiyo ni red flag litarudi tena kwa ukubwa sana take care hama mkoa fast iwezekanavyo.
 
Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
Hakuna watu wa ccm kwenye mkutano wamekufa?
 
Back
Top Bottom